Tanzania ni nchi yenye utajiri mkubwa wa utamaduni. Katika kuhakikisha Tanzania inakuwa mbele kwenye utamaduni, ni lazima tuhakikishe kuwa kila kijana anajipanga kiuhakika kabisa kwenye maisha. Leo tunaona muingiliano wa kijamii,kisiasa,kiuchumi na kiutamaduni wenyewe wanauita utandawazi lakini je sisi kama watanzania tumejipangaje?
Ole wenu nyinyi mliobeba mizigo ya nguo halafu makombe maji... Na ole wako wewe uliobeba jiwe halafu ukautamani mkate. Na ya nini kubeba mizigo isiokuwa na faida? Dunia ni yetu Malezi youth theatre ipo tayari kuiuhisha jamii ya Tanzania kwa kuhakikisha kila nukta ya uatajiri wake wa kiutamaduni unatumika katika kumuweke kifua mbele kijana wa Tanzania.
Leo ndio hivyo ukiona kuna JAMBO ujue lazima nyuma kitakuja KIJAMBO je tupo tayarii
Hapa ni nyumbani kwetu. Mungu ametuumba ili tuje tupatumie. Je tangu umezaliwa umeshatumia asimia ngapi ya ya vile unavyoviona? Unaitumiaje akili yako kutumia hivyo unavyoviona? MALEZI YOUTH THEATRE ipo kwa ajili hiyo tuataitumia tu. Utajiri wetu umaskini sio wetu kwa sababu huwa haumpi mtu furaha hivyo lazima tuupige vita

This comment has been removed by the author.
ReplyDeletekila lisemwalo lina sababu nina sababu za kuishi na kufurahi na kuhuzunika panapostahili najivunia kuwa mtanzania, je weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
ReplyDelete